Back to home
Ruto atetea mradi wa NYOTA kuwapa vijana ruzuku za biashara
video
C
Citizen TV (Youtube)January 22, 2026
2h ago
Rais William Ruto ameendelea kutetea mradi wa serikali wa kuwapa vijana ruzuku ya kuanzisha biashara wa nyota, akisema inalenga kuwawezesha vijana kujikimu na kusaidia kutatua uhaba wa ajira
Advertisement
Advertisement



