Back to home
Kizaazaa Kitengela: Afisa wa DCI ajeruhi watu wawili kwa risasi
video
C
Citizen TV (Youtube)January 25, 2026
6h ago
Watu wawili wamelazwa katika hospitali ya rufaa ya Kajiado baada ya kudaiwa kupigwa risasi na afisa mmoja wa idara ya upelelezi wa jinai (DCI) katika eneo moja la burudani mtaani Kitengela
Advertisement
Advertisement





