Back to home

Mshukiwa Ronald Nyakohe akamatwa Isinya, mama na mtoto wakitibiwa KNH

video
C
Citizen TV (Youtube)
January 25, 2026
5h ago
Polisi katika eneo la Makadara hapa Nairobi wanamzuilia mshukiwa aliyeripotiwa kuchoma nyumba na kusababisha kifo cha mtoto mmoja eneo la Mukuru amekamatwa. Ronald Nyakohe anatarajiwa kufikishwa mahakamani hapo kesho huku mama na mwanawe wakiendelea kutibiwa kwa majeraha ya moto
Advertisement