Back to home

Serikali yaagiza uchunguzi wa kizaazaa kanisani Othaya

video
C
Citizen TV (Youtube)
January 25, 2026
7h ago
Serikali imetoa hakikisho kuwa imeanzisha uchunguzi kuhusiana na matukio ya leo katika kanisa la witima kaunti ya nyeri. Naibu Rais Kithure Kindiki na waziri wa usalama Kipchumba Murkomen kwenye taarifa wakikashifu matukio hayo.
Advertisement