Back to home

Mashirika ya kutetea haki za kibinadamu yakemea vikali mashambulizi dhidi ya Rigathi Gachagua

video
N
NTV Kenya (Youtube)
January 26, 2026
6h ago
Mashirika ya kutetea haki za kibinadamu wakiungana na viongozi wa kidini wamejitokeza kukemea vikali mashambulizi yaliyotokea jana dhidi ya aliyekuwa naibu rais Rigathi Gachagua huko Othaya kaunti ya Nyeri. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and eve
Advertisement