Back to home
Kizaazaa Kanisani Othaya: Gachagua aikosoa hatari ya tukio
video
C
Citizen TV (Youtube)January 25, 2026
7h ago
Kizaazaa kilizuka na kutatiza ibada katika kanisa la ACK Witima, eneobunge la Othaya kaunti ya Nyeri ambako kinara wa DCP Rigathi Gachagua akikuwa akiabudu. Watu waliojihami na waliofunika nyuso walirusha risasi na vitoa machozi kuelekezwa kwenye kanisa hilo. Magari kadhaa yalite
Advertisement
Advertisement



