Back to home

Wakulima kaunti ya Kilifi wahamasishwa kutumia mbinu za kisasa

video
C
Citizen TV (Youtube)
January 26, 2026
8h ago
Huku maeneo mbali mbali yakiendelea kukabiliwa na baa la njaa kutokana na makali ya kiangazi serikali imetakiwa kuwekeza zaidi katika ukulima endelevu hasa mashinani. Wakizungumza katika uzinduzi wa mradi wa ukulima endelevu uliofadhiliwa na shirika moja lisilokuwa la kiserikali
Advertisement