Back to home
Zogo shuleni Meswo Emgwen
video
C
Citizen TV (Youtube)January 29, 2026
2h ago
lShughuli za masomo katika Shule ya Msingi ya Meswo huko Emgwen, Kaunti ya Nandi, zilisitishwa baada ya wazazi wenye ghadabu kufunga shule hiyo na kumfurusha mwalimu mkuu.
Maafisa wa usalama na wasimamizi wa elimu walilazimika kuingilia kati ili kutuliza ghasia zilizozuka. Kwa sa
Advertisement
Advertisement





