Back to home
Mioto ya Taita Taveta
video
C
Citizen TV (Youtube)January 29, 2026
2h ago
Moto wa mara kwa mara katika mbuga ya kitaifa ya tsavo na hifadhi za kijamii kaunti ya Taita Taveta imesababisha wanamazingira na maafisa wa serikali za kaunti kutoa wito kwa jamii kushirikiana ili kukabiliana na visa hivyo.
Aidha serikali ya kaunti imetengeneza sera maalum ya ku
Advertisement
Advertisement





