Back to home

Mizigo imeongezeka bandari ya Mombasa

video
C
Citizen TV (Youtube)
January 29, 2026
2h ago
Bandari ya Mombasa imesajili ongezeko la shehena ziliongia nchini mwaka 2025 kwa asilimia 10.9. Mkurugenzi mkuu wa bandari kapteni William Ruto amesema kuwa ongezeko hilo limechangiwa na kuongezeka kwa mizigo inayoelekea mataifa jirani. Hata hivyo halmashauri ya bandari imekiri k
Advertisement