Back to home

Msongamano bandarini Mombasa uongezeka 10.9% baada ya kura Tanzania na Uganda

video
C
Citizen TV (Youtube)
January 29, 2026
3h ago
Uchaguzi mkuu wa hivi majuzi nchini Tanzania na uganda umeonakana kuifaidi Kenya na kuchangia kwa mrundiko wa makasha bandarini. Halmashauri ya bandari nchini ikisema imesajili ongezeko la takriban asilimia 11 ya shehena zilizoingia humu nchini mwaka jana
Advertisement