Back to home
Polisi wa Kenya washirika wa utulivu Haiti wasifiwa kwa huduma yao
video
C
Citizen TV (Youtube)January 29, 2026
4h ago
Maafisa wa polisi wa Kenya waliohusika na kutuliza ghasia nchini Haiti wametambuliwa kwa kujitolea na utumishi wao wa kipekee. Katika hafla iliyohudhuriwa na Naibu Waziri wa masuala ya kigeni wa Marekani, Christopher Landau, maafisa hao wamesifiwa kwa mchango wao katika kurejesha
Advertisement
Advertisement




