Back to home

Gavana waiguru azindua utafiti wa kina kuhusu ardhi Kirinyaga

video
C
Citizen TV (Youtube)
February 25, 2026
2h ago
Gavana wa Kirinyaga Ann Waiguru amezindua utafiti wa kina wa kihisabati wa ardhi katika miji mikubwa ya kaunti hiyo ili kumaliza migogoro ya kihistoria ya ardhi.
Advertisement