Back to home

Mkutano wa usalama Kapsabet

video
C
Citizen TV (Youtube)
February 27, 2026
2h ago
Katika hatua ya kuleta mapinduzi ya kijamii na kuimarisha ushirikiano kati ya maafisa wa usalama na wananchi, maafisa wa polisi katika Kaunti ya Nandi wameandaa hafla maalum ya kuimarisha uhusiano huo wa kijamii.
Advertisement