Back to home

Kituo cha kubadilisha betri chazinduliwa Karen

video
C
Citizen TV (Youtube)
April 12, 2026
2h ago
Sura mpya ya usafiri unaoendeshwa na umeme nchini Kenya, imeanza kwa uzinduzi wa kituo cha kubadilisha betri za pikipiki mtaani Karen, Nairobi.
Advertisement