Back to home

Jamii ya wasamburu yatakiwa kuwacha ukeketaji

video
C
Citizen TV (Youtube)
April 21, 2026
2h ago
Changamoto imetolewa kwa jamii ya wafugaji ya wasamburu kukomesha tohara ya mtoto wa kike,na badala yake kugeukia mbinu nyengine isiyokuwa na madhara. Haya yamejiri wakati wa kufuzu kwa wasichana waliopokezwa mafunzo mbalimbali ya ujuzi ili kuwalinda dhidi ya makali ya ukeketaji.
Advertisement