Back to home
Serikali ya kaunti ya Nyamira imezindua rasmi usambazaji wa dawa za shilingi milioni 100
video
C
Citizen TV (Youtube)April 29, 2026
1h ago
Serikali ya kaunti ya Nyamira imezindua rasmi usambazaji wa dawa za shilingi milioni 100, kupitia mamlaka ya usambazaji dawa nchini KEMSA kwenda hospitali na vituo 116 vya afya katika kaunti hiyo.
Advertisement
Advertisement





