Back to home
Wafanyakazi wapendekeza taasisi mbadala ya kupinga uongozi wa COTU
video
C
Citizen TV (Youtube)May 5, 2026
1h ago
Baadhi ya wafanyakazi nchini, wakiongozwa na kinara wa chama cha DCP Rigathi Gachagua, wamependekeza kuundwa kwa shirika mbadala la wafanyakazi kupinga muungano wa wafanyakazi wa COTU unaoongozwa na Francis Atwoli.
Advertisement
Advertisement



