Back to home

Kongamano la wakaguzi wa fedha laendelea Mombasa

video
C
Citizen TV (Youtube)
May 6, 2026
1h ago
Kongamano la wakaguzi wa fedha limeingia siku yake ya pili hii leo. Zaidi ya wajumbe 400 wanakongamana mjini Mombasa kujadili mikakati ya kukabiliana na ufisadi, utumizi wa teknologia na mbinu za kuboresha taaluma hiyo ili kupunguza ufujaji wa fedha za umma.
Advertisement