Back to home
Wanaharakati wapinga ushirikiano wa Afrika na Ufaransa
video
C
Citizen TV (Youtube)May 12, 2026
2h ago
Wanaharakati watano wakiwemo raia wa kigeni wamekamatwa jiji Nairobi baada ya polisi kutawanya maandamano dhidi ya Kongamano la Africa Forward linaloendelea katika ukumbi wa KICC.
Advertisement
Advertisement





