Back to home
Kundi la wajane lataka kusaidiwa kiuchumi kaunti ya Nandi
video
C
Citizen TV (Youtube)May 14, 2026
7h ago
Wakazi wa kaunti ya Nandi wamehimizwa na gavana wao Stephen Sang kuongeza juhudi katika ufugaji wa ng’ombe wa maziwa ili kusaidia kuongeza uzalishaji wa maziwa .
Advertisement
Advertisement





