Back to home

Nathif Jama Awataka Vijana wa Garissa Kukumbatia Michezo Badala ya Dawa za Kulevya

video
C
Citizen TV (Youtube)
May 28, 2026
1h ago
Vijana kutoka kaunti ya Garissa watakiwa kujihepusha na uraibu wa madawa za kulevya na badala yake wakumbatie michezo kama njia moja ya kukuza vipaji vyao.
Advertisement