Back to home

Serikali ya kaunti ya migori yatoa ruzuku sokoni Marindi

video
C
Citizen TV (Youtube)
June 4, 2026
2h ago
Wafanyabiashara kutoka Soko la Marindi katika Kaunti ya Migori wapokea ruzuku kusaidia kufufua biashara zao miezi michache baada ya mafuriko mabaya kuharibu eneo hilo, kuharibu mali na kuvuruga maisha.
Advertisement