Back to home

Mwanachama wa ODM tawi la Rongo Kaunti ya Migori, avamiwa na wahuni

video
C
Citizen TV (Youtube)
July 16, 2026
2h ago
Uongozi wa chama cha ODM tawi la Rongo Kaunti ya Migori, wawakashifu watu waliozua vurugu za kisiasa katika wadi ya Kamagambo ambapo mwanachama mmoja wa ODM ajeruhiwa vibaya.
Advertisement