Back to home
Vihiga: Ujenzi wa uwanja wa michezo wa Kidundu watarajiwa kuwa kichocheo cha maendeleo
video
N
NTV Kenya (Youtube)August 27, 2026
2h ago
Ujenzi wa uwanja wa michezo wa Kidundu unatarajiwa kuwa kichocheo cha maendeleo kwa vijana wa eneo hilo, huku kukamilika kwake kukifungua fursa za kukuza vipaji na kuviwezesha kuwa chanzo cha ajira na kipato cha kudumu.
Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news t
Advertisement
Advertisement





