Back to home

Wafanyabiashara wadogo jijini Nairobi waandamana kulalamikia ushuru wa juu

video
C
Citizen TV (Youtube)
August 28, 2026
2h ago
wafanyabiashara wadogo jijini Nairobi waandamana kulalamikia ushuru wa juu wanaosema unatozwa na mamlaka ya ukusanyaji ushuru KRA. Kulingana nao, imekuwa vigumu kupata faida kwa sababu ya ushuru wa juu
Advertisement