Back to home
Wakazi wa Madogo kaunti ya Tana River wahofia athari za mvua ya El Nino
video
C
Citizen TV (Youtube)August 28, 2026
2h ago
Wakazi pamoja na wafanyibiashara wa Madogo kaunti ya Tana River waelezea kutoridhishwa kwao na jinsi serikali ya kaunti hiyo ilivyojiandaa kukabiliana na madhara ya mvua ya el nino iliyotabiriwa kunyesha kuanzia mwezi Oktoba.
Advertisement
Advertisement





