Back to home

Siha na maumbile | Kumbukizi ya siku ya kuzuia kujitoa uhai duniani

video
C
Citizen TV (Youtube)
September 17, 2026
1h ago
Kila mwezi Septemba ulimwengu huadhimisha siku ya kutoa hamasisho dhidi ya kujitoa uhai. Ni kuambatana na hayo ambapo Mwanahamisi Hamadi alipata fursa ya kumhoji Koome Kaburu ambaye ni mtaalamu wa afya ya akili kutoka Equity Afya Kenol na kutundalia makala ya Siha na Maumbile.
The Online Kenyan Android App

Take Kenya's news with you

Breaking stories, daily briefs, and the topics you follow - on your phone, free.

Get the Kenyan News appFree Android app on Google Play