Wanaharakati waandaa maandamano ya mauaji ya Albert Ojwang'
About this video
Taifa linashuhudia ghadhabu na madai ya haki kufuatia kifo cha kusikitisha cha Albert Ojwang, akiwa mikononi mwa polisi. Kilichoanza kama kukamatwa kwa madai ya kuchapisha habari za uongo, sasa kimegeuka kuwa kilio cha kitaifa. Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan ne..