Uwanja wa Ruringu wakaribia kukamilika baada ya serikali kutoa ufadhili mpya
About this video
Huenda uga wa Ruringu ikamalizika ndani ya miezi tisa baada ya serikali kupitia wizara ya michezo kuwachilia pesa ya kuendeleza ujenzi wa uga huo. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discuss..