Back to homeWatch Original
Upasuaji wa miili ya vijana wawili waliopigwa risasi wakati wa maandamano
video
June 30, 2025
2 days ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Upasuaji wa miili ya vijana wawili waliopigwa risasi na maafisa wa polisi wakati wa maandamano ya jumatano mjini Emali kaunti ya Makueni unfanyika leo katika hospitali ya kilome nursing Kufikia sasa hakuna aliyekamatwa kufuatia mauaji hayo..