Back to home

Zaidi ya familia 50 Narok South zimefidiwa na serikali

video
July 8, 2025
3w ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Zaidi ya familia 50 kutoka Narok South wana kila sababu ya kutabasamu baada ya serikali kutoa shilingi milioni 69 kama awamu ya pili kwa familia zilizopoteza wapendwa wao kufuatia uvamizi wa wanyama pori..