Back to home

Familia zilizoathirika na maandamano zazidi kulia

video
July 11, 2025
2w ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Familia za waathiriwa wa maandamano zimejipata katika hali ya sintofahamu baadhi zikishindwa kuwazika wapendwa. Familia moja inasubiri uchunguzi wa maiti uliozuiliwa kutokana na ukosefu wa taarifa kutoka kituo cha polisi cha Githurai. Mpendwa wao anaripotiwa kupigwa risasi kichwa..