Back to home

Familia tano zinazoomboleza wapendwa wao baada ya Maandamano ya Jumatatu, Ngong

video
July 8, 2025
3w ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Familia tano maeneo ya Ngong na Kiserian ni miongoni mwa familia zinazoomboleza baada ya kuwapoteza wapendwa wao wakati wa maandamano ya Jumatatu. Watu watatu walifariki Ngong huku wawili wakifariki mjini Kiserian kwa kupigwa risasi na polisi...