Back to homeWatch Original
Ng'ombe walioibwa siaya wapatikana Luanda
video
July 10, 2025
1mo ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Njama ya kusafirisha mifugo walioibwa ilitibuliwa mapema leo baada ya mshukiwa mmoja wa wizi kukamatwa na polisi waliokuwa wakishika doria kwenye barabara kuu ya Busia – Kisumu..