Back to homeWatch Original
Mbunge Koech ashutumiwa kwa kutaka waandamanaji wauawe kwa risasi
video
July 10, 2025
2w ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Mbunge wa Belgut Nelson Koech amejipata pabaya kwa matamshi yake ya kuwataka maafisa wa polisi kuwapiga risasi na kuwauwa waandamanaji ambao wanavamia na kuharibu mali. Koech ambaye ni mwenyekiti wa kamati ya ulinzi bungeni akisema sheria inawaruhusu maafisa wa polisi kutumia ngu..