Back to home

James Gachara, aliyefariki baada ya kupigwa risasi kwenye maandamano ya Saba Saba, azikwa

video
July 16, 2025
1w ago
N
NTV Kenya (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Jaribio la maafisa kutoka Idara ya Upelelezi (DCI) kuchukua udhibiti wa programu ya mazishi ya James Gachara, aliyefariki baada ya kupigwa risasi kwenye maandamano ya Saba Saba liligonga mwamba, baada ya kanisa na mashirika ya haki za binadamu kuingilia kati. Subscribe and watch..