Back to homeWatch Original
Madarasa mapya yakamilishwa shule ya msingi ya GHM
video
July 17, 2025
about 12 hours ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Viwango vya elimu katika shule ya msingi ya HGM mjini Malindi kaunti ya Kilifi vinatarajiwa kuimarika zaidi baada ya mbunge wa Malindi Amina Mnyazi kufungua rasmi madarasa matano katika shule hiyo..