Back to homeWatch Original
Mvutano washuhudiwa katika jumba la Jogoo wakati viongozi wa wanafunzi kutoka chuo kikuu cha Nairobi
video
July 21, 2025
about 23 hours ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Mvutano ulishuhudiwa mapema leo katika jumba la Jogoo wakati viongozi wa wanafunzi kutoka chuo kikuu cha Nairobi walipoandamana wakitaka kupunguzwa kwa ada ya malazi chuoni humo...