Back to homeWatch Original
Wakazi Nkama Kajiado kusini wapinga ujenzi wa bwawa la maji
video
July 24, 2025
1 day ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Wakazi wa Kijiji cha Nkama huko Loitokitok kaunti ya Kajiado wamepiga mradi wa ujenzi wa bwawa katika mto Narumoru .Wakazi hao wanasema hawakuhusishwa huku mashamba yao yakitwaliwa bila ya kulipwa fidia..