Back to home

UASU yatishia kufanya mgomo kushinikiza mageuzi

video
July 25, 2025
about 21 hours ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Chama cha Wahadhiri wa Vyuo Vikuu nchini UASU kimetishia kuanza mgomo iwapo serikali haitabadilisha mikakati yake ya mageuzi inayolenga kufunga mabewa ya vyuo vikuu, kupunguza idadi ya wafanyakazi na kukabidhi huduma zisizo za lazima kwa wakandarasi wa nje. Wakizungumza huko Momb..