Back to homeWatch Original
Wafanyabiashara Nyeri waapa kulinda biashara zao dhidi ya maandamano
video
July 24, 2025
1w ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Wafanyabiashara mjini Nyeri sasa wameahidi kulinda biashara zao wakati wa maandamano wakisema watajiweka tayari kukabiliana na wahuni. Wafanyabiashara hawa waliokutana mjini Nyeri wakisema hawatashuhudia tena hasara ya biashara zao, baada ya biashara zisizopungua 20 kushambuliwa ..