Back to home

Polisi wafungwa miaka 35 jela

video
July 29, 2025
3d ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Maafisa wawili wa polisi watasalia jela kwa miaka 35 kila mmoja baada ya kupatikana na hatia ya kumuua mwanamume mmoja miaka mitano iliyopita kwa kosa la kutovaa barakoa. Mahakama ya Rufaa ya Eldoret imewahukumu maafisa hao wawili wa kwa mauaji ya jina Dennis LUSAVA. Jaji Reuben ..

Polisi wafungwa miaka 35 jela (Video)