Back to homeWatch Original
Wizi wa mabegi ya wasafiri kisiwani Lamu
video
July 30, 2025
1mo ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Visa vya wizi wa mabegi ya abiria pindi wanaposhuka kutoka kwenye boti katika Kisiwa cha Amu kaunti ya Lamu vimeendelea kuongezeka na kuzua wasiwasi miongoni mwa wasafiri..