Back to home

Wakulima wa Mwea na Ahero wapinga uamuzi wa kuagiza mchele kutoka Nje, wazua wasiwasi sokoni

video
July 30, 2025
2d ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Wakulima wa mpunga maeneo ya Mwea na Ahero sasa wanasema Kenya ina mazao ya kutosha, ikipinga uamuzi wa serikali wa kuagiza tani laki tano za mchele kutoka mataifa ya kigeni. Wakulima hawa wakiishutumu serikali kwa kukosa kuwahusisha katika uamuzi huo ambao walisema utawaacha nji..