Back to homeWatch Original
Uuzaji wa pombe kwa umma wapigwa marufuku, NACADA yapendekeza umri uongezwe hadi 21
video
July 30, 2025
2d ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Uuzaji wa pombe kwenye maeneo na maduka ya umma, na hata kuuza vileo kupitia mitandao itakuwa marufuku, endapo mapendekezo mapya ya halmashauri ya kukabiliana na utumizi wa dawa za kulevya nchini yataidhinishwa. Aidha, kwenye mapendekezo haya mapya, NACADA inataka umri wa kuanza ..