Back to homeWatch Original
Viongozi wa upinzani wapinga uagizaji wa mchele, wadai ni usaliti kwa wakulima
video
July 31, 2025
2d ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Hisia zimeendelea kuhusiana na hatua ya serikali kuruhusu uagizaji wa mchele kutoka mataifa ya nje. Viongozi wa Upinzani wameelezea upinzani wao kufuatia hatua hiyo wakisema ni usaliti kwa wakulima wa mpunga nchini. Aidha, viongozi wa maeneo yanayokuza mpunga wakiongozwa na gavan..