Back to home

Hatma ya wauguzi 306 yatatupwa baada ya wizara kusema hawakuhitimu

video
August 1, 2025
1d ago
N
NTV Kenya (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Hatma ya wauguzi wanagenzi 306 iko ukingoni baada ya kufanya kazi hospitalini chini ya mpango wa mafunzo nyanjani kwa muda wa wiki 3 pekee kisha wizara ya afya ikawaita ghafla na kusema kuwa hawakuwa wamehitimu inavyohitajika . Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenya..