Back to home

Kenya itaanzisha vitambulisho rasmi kwa wachezaji wakongwe wa Harambee Stars

video
August 1, 2025
14h ago
N
NTV Kenya (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Rais wa Shirikisho la kandanda la Kenya Hussein Mohammed ametangaza kwamba kuanzia msimu ujao, wataanzisha mfumo wa vitambulisho rasmi ambao utawaruhusu wachezaji wakongwe wa Harambee Stars kuhudhuria mechi za Ligi Kuu bure bilashi. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest ..