Back to home

Garshon Mutisya aliyeuwawa na polisi wakati wa maandamano amezikwa

video
August 2, 2025
2d ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Biwi la simanzi lilighubika kijiji cha Makutano viungani mwa mji wa Emali katika mazishi ya Garshon Mutisya, kijana aliyeuawa kwa kupigwa risasi wakati wa maandamano ya tarehe 25 Juni. Familia, jamaa na marafiki waliohudhuria mazishi hayo wakiwashutumu maafisa wa polisi kwa kutum..